2019-10-19 01:53:20
Fomu za mwaka 2018/2019 zitafungwa rasmi leo tarehe 05/07/2019 saa Kumi (10) Alasiri, Fomu zote za mwaka 2018/2019 zinapaswa kuwa zimeshafika hatua ya Naibu Makamu Mkuu wa Chuo, (DVC) ikiwa imejazwa kwa ukamilifu sehemu zote.